iqna

IQNA

Kadhia ya Palestina
Mteule katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani alijiuzulu siku ya Jumanne, akitolea mfano "ushirikiano" wa utawala wa Joe Biden katika mauaji ya kimbari ya Gaza ambapo takriban watu 37,900 wameuawa tangu Oktoba 7,2023 mwaka jana.
Habari ID: 3479059    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/03

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Mamia ya Wapalestina wamefanya maandamano katika eneo la kaskazini la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kupaza sauti zao za kupinga ziara ya Rais Joe Biden wa Marekani katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu yaliyopachikwa jina la Israe katika safari yake ya kwanza ya Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) kama rais wa Marekani .
Habari ID: 3475504    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/15